Nenda kwa yaliyomo

Orlando Bloom

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Orlando Bloom

Amezaliwa Orlando Jonathan Blanchard Bloom
Kazi yake Mwigizaji

Orlando Jonathan Blanchard Bloom (amezaliwa tar. 13 Januari 1977, mjini Canterbury, Uingereza) ni mwigizaji filamu kutoka nchini Uingereza. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Legolas Greenleaf kwenye seti nzima ya filamu ya The Lord of the Rings.

Mnamo mwaka wa 1993, alihamia mjini London kwa kuongeza tija ya shughuli zake, kwa kufanya japo vijisehemu katika mfululizo wa TV kama Casualty. Halafu baadaye kwenye igizo la The Seagull, Twelfth Night, na Trojan Women. Hizi ni roli ambazo zinachukua mda mrefu kabla ya kumaliza elimu hiyo kule katika shule ya mjini London.

Hapa kuna orodha chache za filamu ambazo amecheza kama muhusika muhimu kabisa:

Pirates of the Caribbean 3: At World's End (2007)

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:Wikiquote-en

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Orlando Bloom kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.