Oppa Clement

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Oppa Clement
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 14 Februari 2001 (2001-02-14) (umri 23)
Mahala pa kuzaliwa    Iringa, Tanzania
Urefu 1.50 m (4 ft 11 in)
Nafasi anayochezea Mshambuliaji
Maelezo ya klabu
Klabu ya sasa Besiktas
Namba 27
Klabu za vijana
Simba Queens 2018-2023

Besiktas 2023-

Timu ya taifa
Twiga Stars

* Magoli alioshinda

Oppa Clement Sanga (alizaliwa 14 Februari 2001, mkoani Iringa, ni mchezaji wa kandanda au mpira wa miguu akiichezea klabu ya wanawake ya Besiktas ya Uturuki na timu ya Taifa ya Tanzania ya wanawake (Twiga Stars).

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Oppa Clement kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.