Opoku Ampomah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Opoku Ampomah (alizaliwa 2 Januari 1996) ni mchezaji wa soka wa Ghana ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Waasland-Beveren na timu ya taifa ya Ghana.

Alicheza kwa mara ya kwanza na klabu ya Waasland-Beveren mwezi Julai 2016 dhidi ya klabu ya Sporting Charleroi katika ligi ya daraja la kwanza nchini Ubelgiji.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Opoku Ampomah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.