Oge Okoye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Oge Okoye (alizaliwa tarehe born 16 Novemba 1980) ni muigizaji wa Kinajeria. Ametokea Nnewi katika jumbo la Anambra Nigeria[1]. Oge Okoye alizaliwa London,[2] na baadaye alihamia kuishi Lagos na familia yake. Alihitimu elimu ya msingi kabla ya kuhamia Nigeria. Baada ya kurudi  Nigeria, alisoma shule ya msingi Enugu na baadaye Holy Rosary College kwa ajili ya sekondari, [3].

Alihitimu katika [Chuo cha Nnamdi Azikiwe ], [Awka] na  shahada ya [Sanaa ya maigizo]. Alijiunga na tasnia ya uigizaji Nageria inayofahamika kama Nollywood mnamo waka 2001. Alipata umaarufu 2002 baada ya kuigiza katika filamu ya ‘Spanner’ alipoigiza na Chinedu Ikedieze almaarufu ‘Aki’ kwenye tasnia ya filamu Nageria. Aliolewa na mpeziwe wa muda mrefu mwaka 2005 na kupata watoto wawili. Alitengana na mumewe mwaka 2012 [4]. Mwaka  2006, aliteuliwa kuwania tuzo za African Movie Academy kama muigizaji msaidizi bora wa kwa uhusika wake katika filamu ya "Eagle's Bride"[5][6][7]

Oge ni mzalishaji filamu na mwanamitindo pia. Ametokea katika majarida mengi ya kimitindo, matangazo ya runingani na billboards. Amekua balozi wa makampuni mbali mblai kama vile [Globacom]]na  [MTN_Nigeria] ikiwa ni sehemu ya a [Kundi la MTN ] yote yakiwa ni makampuni ya mawasiliano Naijeria [8].

Filamu[hariri | hariri chanzo]

  • Spanner (2002)
  • Blood Sister (2003)
  • Forever Yours (2003)
  • Handsome (2003)
  • Magic Love (2003)
  • My Command (2003)
  • Sister Mary (2003)
  • Arsenal (2004)
  • Beautiful Faces (2004)
  • I Believe in You (2004)
  • Indecent Girl (2004) .... O'rel
  • I Want Your Wife (2004)
  • Little Angel (2004)
  • My Desire (2004)
  • Separate Lives (2004)
  • Spanner 3 (2004)
  • Spanner Goes to Jail (2004)
  • 11:45... Too Late (2005)
  • Beyond Passion (2005)
  • Black Bra (2005)

  • Crazy Passion (2005)
  • Desperate Love (2005)
  • Eagle's Bride (2005)
  • Emotional Battle (2005)
  • Every Single Day (2005)
  • Face of Africa (2005) .... Ukheria
  • Friends & Lovers (2005)
  • The Girl Is Mine (2005)
  • It's Juliet or No One (2005)
  • The King's Son (2005)
  • Marry Me (2005)
  • Orange Groove (2005)
  • Paradise to Hell (2005)
  • Shock (2005)
  • To Love and Live Again (2005)
  • Trinity (2005)
  • Trouble Maker (2005)
  • War Game (2006)
  • The Snake Girl (2006)
  • Blackbery Babes (2010)
  • Sincerity
  • Sinful Game
  • Festac Town (2014)


Mfululizo wa sinema[hariri | hariri chanzo]

mwaka Jina Jukumu Muongozaji Ref
2015 Hotel Majestic] style="background: #ececec; color: grey; vertical-align: middle; text-align: center; " class="table-na" | Hakuna taarifa [9]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]