Oakland, California
Mandhari
Jiji la Oakland | |||
| |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | California | ||
Wilaya | Alameda | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 397,067 | ||
Tovuti: www.oaklandnet.com |
Oakland ni mji wa nane kwa ukubwa katika California. Uko mashariki ya rasi ya San Francisco. Mji ulikuwa na wakazi 397,067 mnamo mwaka 2006.
Mji uliundwa mwaka 1852. Jina la kwanza la mji lilikuwa encinal (Kihispania: kituka cha mti wa oak).
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kiingereza) Tovuti ya mji la Oakland Ilihifadhiwa 9 Februari 1998 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya California bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Oakland, California kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |