Oakland, California

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jiji la Oakland
Skyline ya Jiji la Oakland
Nchi Marekani
Jimbo California
Kitongoji Alameda
Idadi ya wakazi
 - Mji 397,067
Website: www.oaklandnet.com
Oakland
Oakland

Oakland ni mji wa nane kwa ukubwa katika California. Uko mashariki ya rasi ya San Francisco. Mji ulikuwa na wakazi 397,067 mnamo mwaka 2006.

Mji uliundwa mwaka 1852. Jina la kwanza la mji lilikuwa encinal (Kihispania: kituka cha mti wa oak).

[hariri] Viungo vya Nje


Flag USA template.gif Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Oakland, California kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.