Nunu Khumalo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nunu Khumalo
Amezaliwa 15 Aprili 1992
Mpumalanga
Nchi Kigezo:Country data Afika Kusini
Kazi yake Mwanamitindo

Nqobile Nunu Khumalo alizaliwa Mpumalanga, tarehe 15 Aprili 1992) ni mwanamitindo na mwigizaji wa filamu wa Afrika Kusini.[1]

Maisha Binafsi[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa mwaka 1992 nchini Afrika Kusini katika familia ya Kiswati; akiwa na umri wa miezi miwili mama yake alihamia katika mji wa Johannesburg, mwaka 2012, alisoma katika shule ya St Mary's Diocesan School for Girls, na baada ya elimu ya upili alijiunga na chuo cha Midrand Graduate Institute na kumaliza shahada yake ya utangazaji .

Filamu[hariri | hariri chanzo]

  • Isibaya kama Cindy
  • Broken Vows kama Zandile
  • High Rollers kama Thandi
  • Gauteng Maboneng Beautiful Lady
  • Loxion Lyric’ kama Nhlahla
  • Mfolozi Street kama Judith
  • Saints and Sinners kama Lerato
  • Madiba
  • Rockville kama Nosipho
  • She's The One kama herself
  • The Herd kama Dudu
  • Task Force kama Lisa
  • Soul City kama Relebogile “Riri’’ Diholo
  • Scandal (Tamthilia kama Hlengiwe Twala

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Scandal! actress Nqobile Khumalo on her career: "My job as a storyteller is to tell people’s stories"". news24. Iliwekwa mnamo 15 November 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nunu Khumalo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.