Nanami Kitamura

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nanami Kitamura (alizaliwa 25 Novemba 1999) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama beki wa timu ya taifa ya Japan pamoja na klabu ya Tokyo Verdy Beleza inayoshiriki ligi ya wanawake ya WE League.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nanami Kitamura kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.