Nadia Eke

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nadia Eke akiruka katika mashindano ya dunia IAAF huko Madrid 2017.

Nadia Eke (alizaliwa Accra, 11 Januari 1993 [1]) ni mwanariadha wa kuruka mitupo ya juu kutoka nchini Ghana.

Elimu[hariri | hariri chanzo]

Eke alihitimu elimu yake kutoka Chuo Kikuu cha Columbia mnamo mwaka 2015[2].

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Mnamo mwaka 2014,alimaliza akiwa nafasi ya kumi katika michezo ya Jumuia ya Madola Glasgow, alishinda Medali ya Fedha katika mashindano ya Afrika IAAF ya bara na kushika nafasi ya 11 huko Marrakech.[3]

Pia alishinda medali ya shaba katika michezo ya Afrika nchini kongo Brazzaville 2015.Mnamo 2016,alikuwa mshindi wa Mashindano ya Riadha ya Afrika[4].

Alifuzu kuiwakilisha nchi yake ya ghana katika michezo ya Olimpiki ya majira ya joto ya mwaka 2020 katika kipengele cha wasichana wanaoshiriki michezo ya kuruka mitupo ya juu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Athletics | Athlete Profile: Nadia EKE - Gold Coast 2018 Commonwealth Games". results.gc2018.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-03-02. Iliwekwa mnamo 2021-09-27. 
  2. "Nadia Eke - Track and Field". Columbia University Athletics (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-09-27. 
  3. "Nadia Eke qualifies for World Champs and Tokyo 2020 with new National Record". Citi Sports Online (kwa en-US). 2019-06-09. Iliwekwa mnamo 2021-09-27. 
  4. "Nadia wins gold for Ghana at 2016 African Athletics Champs". Graphic Online (kwa en-gb). Iliwekwa mnamo 2021-09-27. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nadia Eke kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.