Mzee wa Busara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mzee wa Busara
Mzee wa Busara Cover
Studio album ya Wachuja Nafaka
Imetolewa 2002
Aina Hip hop
Lebo Bongo Records
Mtayarishaji P. Funk
Tahakiki za kitaalamu
  • Rating-Your-Music 4.5/5 stars [1]
Single za kutoka katika albamu ya Mzee wa Busara
  1. "Mzee wa Busara"
    Imetolewa: 2002
  2. "Ya Leo Kali"
    Imetolewa: 2002
  3. "Ladhia"
    Imetolewa: 2002
  4. "Wachuja Nafaka"
    Imetolewa: 2002
  5. "Mapato"
    Imetolewa: 2002


Mzee wa Busara, ni jina la tepu ya albamu ya kwanza ya kundi bab-kubwa la muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania, Wachuja Nafaka. Hili lilikuwa kundi maalumu kwa ajili ya mradi maalumu wa nyimbo kadhaa kabla ya kuvunjika. Kundi halijadumu sana tangu kuanzishwa kwake. Kundi linaunganishwa na wasanii kama vile Juma Nature, Doro na KR Mullah.

Albamu hii ilitamba sana na kibao chake cha Mzee wa Busara ambacho kilitolewa mara mbili. Kimoja kiliimbwa na Nature na KR, remix yake iliimbwa na Nature na Inspector Haroun ambacho kilitumika kama sehemu ya kuwaunganisha pamoja wasanii hawa waliokuwa na ugomvi kipindi cha nyuma. Albamu ilisambazwa na GMC.

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

Hii ni orodha ya nyimbo zilizopo katika albamu hii.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]