Mto Mpiringa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Mpiringa ni mto wa Tanzania kaskazini ambao ni tawimto wa mto Wembere unaotiririkia ziwa Kitangiri.