Mkoa wa Kaskazini (Zambia)
Mandhari
Kwa maana nyingine, tazama Mkoa wa Kaskazini.
Mkoa wa Kaskazini (Northern Province) ni moja ya mikoa 10 ya kujitawala ya Zambia lenye wakazi 1,258,696 kwenye eneo la 147,826 km². Mji mkuu ni Kasama.
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]Miji mikubwa ni pamoja na Kasama na Chilubi.
Chambeshi na Luangwa ni mito muhimu zaidi.
Picha za Kaskazini
[hariri | hariri chanzo]-
Ziwa la Bangweulu
Makala hii kuhusu maeneo ya Zambia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kaskazini (Zambia) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Copperbelt | Kaskazini | Kaskazini-Magharibi | Kati | Kusini | Luapala | Lusaka | Magharibi | Mashariki | |
+/- |