Mkoa wa Kaskazini-Magharibi (Zambia)
Mandhari
Kwa maana nyingine, tazama Mkoa wa Kaskazini-Magharibi.
Mkoa wa Kaskazini-Magharibi (North-Western Province) ni moja ya mikoa 9 ya kujitawala ya Zambia lenye wakazi 583,350 kwenye eneo la 125,827 km². Mji mkuu ni Solwezi.
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]Miji mikubwa ni pamoja na Solwezi na Mwinilunga.
Kabompo na Zambezi ni mito muhimu zaidi.
Makala hii kuhusu maeneo ya Zambia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kaskazini-Magharibi (Zambia) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Copperbelt | Kaskazini | Kaskazini-Magharibi | Kati | Kusini | Luapala | Lusaka | Magharibi | Mashariki | |
+/- |