Mitsue Iwakura

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mitsue Iwakura (alizaliwa 18 Agosti 1984) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae alichezea klabu ya wanawake ya Atletico Madrid na Valencia.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mitsue Iwakura kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.