Mimutie Women Organization

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mimutie Women Organization ni asasi isiyo ya Kiserikali iliyoanzishwa na Rose Njilo kwa ajili ya kuwasaidia na kuwainua wanawake wa jamii ya kifugaji ya Kimaasai [1] katika wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha.

Ni shirikia ambalo linafanya kazi ya kuwainua wanawake hasa Wamaasai likiamini kuwa mwanamke akiinuka kiuchumi atakua na kujijengea heshima.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-01-05. Iliwekwa mnamo 2020-11-13.