Marumaru
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Marumaru (pia: marmar - kutoka kar. مرمر) ni mwamba wa gange uliobadilika kutokana na joto na shindikizo ndani ya ganda la dunia katika kipindi cha miaka mamilioni. Kikemia ni hasa CaCO3.
Ni jiwe gumu sana inayopatikana katika rangi mbalimbali.
Hupendwa sana kama jiwe la ujenzi hasa kama ni nyeupe. Kama ni haba katika eneo fulani hutumiwa kama mapambo tu yaani kuta zafunikwa kwa marumaru. Jiwe lenye rangi mbalimbali hutumiwa kwa sakafu katika majengo muhimu au kama mapambo ya kuta za ndani.
Tangu kale marumaru ilitumiwa pia kwa sanamu.
[hariri] Tovuti za Nje
- Inlaid marble
- Tips for cleaning marble
- Learning to carve by Marc Levoy.
- Marmo Qarry in the Massa-Carrara region, Italy
| Makala hiyo kuhusu "Marumaru" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Marumaru kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |