Martin Starr

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Martin Starr
Martin Starr

Martin Starr (jina la kuzaliwa: Martin James Pflieger Schienle; Santa Monica, California, 30 Julai 1982) ni mwigizaji na mchekeshaji wa Marekani.

Anajulikana kwa majukumu ya runinga ya Bill Haverchuck kwenye Freak and Geeks (1999-2000), Roman DeBeers kwenye safu ya vichekesho Party Down (2009-2000), na Bertram Gilfoyle kwenye safu ya HBO Silicon valley (2014- mpaka sasa), na pia kwa majukumu yake ya filamu ya Knocked Up (2007), Adventureland (2009), Spider-Man: Homecoming (2017), na Spider-Man: Far From Home (2019)

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Starr ni mtoto wa mwigizaji Jean St. James wa Ujerumani.

Katika mahojiano na jarida la Wired_ (magazine), Starr alikiri kuhisi "kufadhaika na kusononeka", baada ya Freaks & Geeks kufutwa, kwa sababu ya ukosefu wa ofisa akiwa na umri wa miaka 22. Alikuwa amemwachisha kazi wakala wake na kuamua kuacha kabisa kazi. Alijaribu kazi ya kuandaa kahawa pia lakini hakuichukua. hata hivyo, miaka michache baadaye alipewa Knocked Up na baada ya hapo ofa nyingine zikaja.

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Martin Starr kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.