Marcos Alonso

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Marcos Alonso

Marcos Alonso (alizaliwa tarehe 28 Desemba 1990), ni mchezaji wa soka ambaye anacheza kama beki wa kushoto au beki wa kati wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza iitwayo Chelsea f.c. na timu ya taifa ya Hispania.

Kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Alianza kazi yake akiwa na klabu ya Real Madrid, lakini aliitwaa jina lake kutoka katika klabu ya Bolton Wanderers nchini uingereza na baadaye kwenda katika klabu ya Fiorentina nchini Italia. Mafanikio yake katika klabu ya pili ilimfanya Chelsea kumsajili kwa wastani wa milioni 24 mwaka 2016.

Kazi ya kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Alonso aliitwa kwa ajili ya kuiwakilisha timu ya taifa ya Hispania mwezi wa Machi 2018 kwa ajili ya Kombe la Dunia la FIFA 2018.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marcos Alonso kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.