Mami Ueno

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mami Ueno (alizaliwa 27 Septemba 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama mshambuliaji. Mami alichezea klabu ya Hiroshima inayoshiriki ligi ya wanawake ya WE League pamoja na timu ya taifa ya Japan.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. List of match in 2017 Archived 2019-03-23 at the Wayback Machine, 2019 at Japan Football Association
  2. FIFA
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mami Ueno kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.