Majadiliano ya mtumiaji:PouLagwiyann

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Kipala (majadiliano) 18:13, 14 Mei 2023 (UTC)[jibu]

Guyana ya Kifaransa[hariri chanzo]

Habari, kwa sasa nimerudisha mabadiliko uliyofanya katika makala hiyo. Je una ushahidi wowote kwamba jina la Kiswahili ni Giyani? Kipala (majadiliano) 18:15, 14 Mei 2023 (UTC)[jibu]

Habari! Hapana, ni kutofautisha tu jina la Guyana na ya kifaransa🇬🇫🇫🇷 lile la Guyana🇬🇾. Kwa Kifaransa, tunasema fr:Guyane🇬🇫🇫🇷 et fr:Guyana🇬🇾; katika Kiingereza (french) Guiana🇬🇫🇫🇷 na en:Guyana🇬🇾; kwa Kihispania es:Guayana francesa🇬🇫🇫🇷 na es:Guyana🇬🇾. Kwa nini katika Kiswahili huweki tofauti, itakuwa ni manufaa kwa nchi hizi kuleta mabadiliko kama ilivyo katika lugha nyingine kuu. Na unaweza kuweka Guyana ya kifaransa kama ukurasa wa kuelekeza kwingine…! PouLagwiyann (majadiliano) 13:30, 17 Mei 2023 (UTC)[jibu]
Ndugu, baada ya kutoa pendekezo hilo ulitakiwa kusubiri jibu, kumbe umebadilisha makala na jamii kadhaa... Si utaratibu mzuri katika Wikipedia. Ni kama kulazimisha. Tena sijui kama unamudu Kiswahili. Kwa mfano, hakuna neno Kikrioli, ila Krioli. Inawezekana pia kusema Kiguyani cha Kifaransa, lakini si Kikrioli. Ulikwishaambiwa na marehemu Kipala lakini umerudia, ila kwa kuandika Guyani badala ya Giyani. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:36, 5 Januari 2024 (UTC)[jibu]