Mtumiaji:PouLagwiyann

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Habari !

Mimi ni PouLagwiyann,

Ninatoka Guyani ya Kifaransa na ninazungumza lugha ya Kifaransa, Kiingereza, Kikrioli cha Guyani ya Kifaransa na Kiswahili.

Mimi ni mchangiaji mkuu wa Wikipedia ya Kifaransa, hasa kwenye vipengee kuhusu Guyani ya Kifaransa. Nakuja kuchangia kwa nguvu kwenye Wikipedia ya Kiswahili !