Majadiliano:Facebook

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Facebook yaitwa vipi kwa Kiswahili?

Facebook ni jina na jina kwa kawaida haitafsiriwi - isipokuwa kama wenyewe wanatangaza jina la pekee kwa ajili ya Kiswahili. Sawa na google .k. Kipala (majadiliano) 06:36, 26 Oktoba 2015 (UTC)[jibu]


Futa makala[hariri chanzo]

Tafsiri na lugha ni mbaya , ama ni ya kompyuta au ya mhariri mvivu. Isibaki ilivyo. Ingawa lemma inapendwa sana, sioni faida ibaki kama haiboreshwi. Karibu kuchangia hapa Wikipedia:Makala_kwa_ufutaji#Facebook Kipala (majadiliano) 06:36, 26 Oktoba 2015 (UTC)[jibu]