Maika Hamano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maika Hamano (alizaliwa 9 Mei 2004) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya wanawake ya Chelsea pamoja na timu ya taifa ya wanawake nchini Japani.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maika Hamano kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.