Mabilionea Ulimwenguni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mabilionea Ulimwenguni ni orodha ya kila mwaka ya thamani ya utajiri ya mabilionea wakubwa duniani inayoandaliwa na kuchapishwa mwezi Machi kila mwaka na gazeti la Forbes la Marekani. Orodha ya kwanza ilichapishwa Machi 1987. Jumla ya thamani ya utajiri wa kila mmoja kwenye orodha hiyo unakadiriwa na kutolewa kwa dola ya Marekani kutegemeana na mali zao na madeni. Familia za Kifalme au madikteta ambao utajiri wao unatokana na nafasi zao na sio jasho huwa hawawekwi kwenye orodha hii.

Mwaka 2018, watu 2,208 wametokea kwenye orodha hii, ambayo ilijumuisha mabilionea wapya 259 wengi wao wakitokea China na Marekani, na watu 63 wenye umri chini ya 40 na wanawake 256.

Hadi 2018, mwanzilishi wa Microsoft Bill Gates alikuwa ndio namba moja kwenye orodha hii kwa miaka 18 kati ya miaka 24, wakati mwanzilishi wa Amazon Jeff Bezos ameshika nafasi ya kwanza kwa mara ya kwanza na tajiri wa kwanza kwenye orodha mwenye utajiri thamani ya dola bilioni 100.[1] Mark Zuckerberg ni mtu pekee kwenye orodha ya mabilionea wakubwa 10 duniani mwenye umri wa chini ya miaka 50.[2]

Orodha ya kila mwaka[hariri | hariri chanzo]

Orodha huchapishwa kila mwaka mwezi Machi. Orodha hizi zinaonyesha mabilionea wakubwa 10 tu kila mwaka.

Maelezo[hariri | hariri chanzo]

Alama Maana
Haijabadilika toka mwaka uliopita.
increase Imeongezeka toka mwaka ulliopita.
decrease Imepungua toka mwaka uliopita.

2019[hariri | hariri chanzo]

Kwenye orodha ya Forbes ya 33, kuna mabilionea 2,153 ambao kwa ujumla wana thamani ya dola za Kimarekani trilioni 8.7.[3]

Na. Jina Thamani (USD) Umri Utaifa Chanzo cha utajiri
&0000000000000001.0000001 Bezos, JeffJeff Bezos $131 billion increase 55 Marekani Amazon
&0000000000000002.0000002 Gates, BillBill Gates $96.5 billion increase 63 Marekani Microsoft
&0000000000000003.0000003 Buffett, WarrenWarren Buffett $82.5 billion decrease 88 Marekani Berkshire Hathaway
&0000000000000004.0000004 Arnault, BernardBernard Arnault $76 billion increase 70 Bendera ya Ufaransa Ufaransa LVMH
&0000000000000005.0000005 increase Slim, CarlosCarlos Slim $64 billion decrease 79 Bendera ya Mexiko Meksiko América Móvil, Grupo Carso
&0000000000000006.0000006 Ortega, AmancioAmancio Ortega $62.7 billion decrease 82 Bendera ya Hispania Hispania Inditex, Zara
&0000000000000007.0000007 increase Ellison, LarryLarry Ellison $62.5 billion increase 74 Marekani Oracle Corporation
&0000000000000008.0000008 decrease Zuckerberg, MarkMark Zuckerberg $62.3 billion decrease 34 Marekani Facebook
&0000000000000009.0000009 increase Bloomberg, MichaelMichael Bloomberg $55.5 billion increase 77 Marekani Bloomberg L.P.
&0000000000000010.00000010 increase Page, LarryLarry Page $50.8 billion increase 45 Marekani Alphabet Inc.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Specific
  1. Kroll, Luisa. "Forbes 2017 billionaires list: Meet the richest people on the planet", Forbes. 
  2. Shinal, John (2017-08-01). "Mark Zuckerberg is less than half the age of his super-wealthy peers". www.cnbc.com. Iliwekwa mnamo 2019-01-15. 
  3. "Billionaires 2019". Forbes. 5 March 2019. Iliwekwa mnamo 13 March 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]