Lorraine Adams

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lorraine Adams

Nchi Marekani



 
Makala hii haijakamalishwa, inahitaji uhariri wa kuendelea

Lorraine Adams ni mtunzi wa riwaya na mwandishi wa habari wa Marekani.Kama mwandishi wa habari anajulikana kama mchangiaji kwenye New York Times Book Review na pia ni mchangiaji rasmi katika The Washington Post.

Maisha ya Awali[hariri | hariri chanzo]

Lorraine Adams ni muhitimu katika chuo kikuu cha Princeton University mnamo mwaka 1981 baada ya kuwa amemaliza kitabu, mkusanyiko wa kitabu kilichokuja kuitwa "The Hero in Ezra Pound" [1]

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Adams anaishi Harlem, New York, na ameolewa na mwandishi wa riwaya, Richard Price."[2]

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

  • Tuzo ya Pulitzer ya Uchunguzi mwaka wa 1992[3]
  • Tuzo ya Mwandishi Mpya wa Kwanza wa VCU mwaka wa 2006[4]
  • Mkataba wa Guggenheim mwaka wa 2010[5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lorraine Adams kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.