Liu Xiaobo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Liu Xiaobo (28 Desemba 1955 - 13 Julai 2017) alikuwa mwandishi wa China, mwanaharakati wa haki za binadamu, mwanafalsafa na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani ambaye alitoa wito wa mageuzi ya kisiasa na alikuwa amehusika katika kampeni za kumaliza utawala wa chama cha kikomunisti nchini China.

Wakati mwingine hujulikana kama "Nelson Mandela wa China". Alifungwa kifungo cha kisiasa huko Jinzhou, Liaoning. Mnamo 26 Juni 2017, alipewa matibabu baada ya kugunduliwa ana saratani ya ini na alikufa tarehe 13 Julai 2017.[1]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Liu Xiaobo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.