Lisa Bloom

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lisa Read Bloom; (alizaliwa Septemba 20, 1961) ni wakili wa nchini Marekani anayejulikana kwa kutoa ushauri kwa Harvey Weinstein kwa madai ya unyanyasaji wa kijinsia, na kwa kuwawakilisha wanawake ambao madai yao ya unyanyasaji wa kijinsia yalisababisha na Bill O' Reilly (mtoa maoni wa kisiasa).

Bloom ni mwanzilishi na mmiliki wa kampuni ya Bloom, kampuni ya sheria ambayo imewakilisha wateja ikiwa ni pamoja na Kathy Griffin na Mischa Barton.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Krinsky, Alissa. "Lisa Bloom Leaving truTV", TV Newser, January 9, 2008. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lisa Bloom kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.