Lil Nas X
Lil Nas X | |
---|---|
Lil Nas kwenye tuzo za American Music Awards, mnamo Novemba 2019
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Montero Lamar Hill |
Amezaliwa | Aprili 9 1999 |
Asili yake | Marekani |
Kazi yake | Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mwanamuziki |
Ala | sauti |
Miaka ya kazi | 2015-hadi leo |
Studio | Columbia |
Tovuti | lilnasx.com |
Montero Lamar Hill (maarufu kama Lil Nas X; alizaliwa 9 Aprili 1999) ni mwanamuziki wa Hip hop wa nchini Marekani na pia ni mwandishi wa nyimbo.
Alijulikana kimataifa baada ya kutoa kibao chake alichokiita Old Town Road ambacho kilipata umaarufu mkubwa sana katika mitandao mnamo mwaka 2019. Wimbo huo ulishika namba moja nchini marekani katika Billboard Hot 100 na kuwa katika nafasi hiyo ndani ya wiki kumi na tisa, na ndio wimbo pekee ambao umeweza kufanya hivyo tangu kuanzishwa kwa orodha hiyo ya nyimbo kali mnamo mwaka 1958. Pia Nas X, alichaguliwa katika tuzo mbalimbali ikiwemo ile ya Grammy Awards ambapo alichaguliwa katika vipengele vya Wimbo bora wa mwaka, Albamu bora ya mwaka na pia kama Msanii bora chipukizi.
Mnamo Juni 2019, Lil Nas X alijitangaza kuwa shoga na ni msanii wa kwanza ambaye kashikilia namba moja katika orodha ya nyimbo bora kufanya hivyo. Nyimbo ya "Old Town Road" imeweza kumpatia tuzo kutok katika MTV Video Music Awards ikiwemo tuzo ya wimbo bora wa mwaka na ni msanii pekee mbaye ni shoga kushinda tuzo ya Cross country association na ni kwa sababu tu ya wimbo wake.
Diskografia[hariri | hariri chanzo]
Albamu[hariri | hariri chanzo]
Albamu | Maelezo | Nafasi iliyoshika | Mauzo | Matunukio | |||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Marekani [1] |
Australia [2] |
Austria [3] |
Canada [4] |
Denmark [5] |
Ufaransa [6] |
Ireland [7] |
New Zealand [8] |
Sweden [9] |
Uingereza [10] | ||||
7 |
|
2 | 5 | 72 | 1 | 9 | 15 | 11 | 5 | 10 | 23 |
|
|
Nyimbo[hariri | hariri chanzo]
Nyimbo | Mwaka | Nafasi iliyoshika | Mauzo | Matunukio | Albamu | |||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Marekani [12][13] |
Marekani R&B /HH [14] |
Australia [15] |
Canada [16] |
Denmark [17] |
Ireland [18] |
Norway [19] |
New Zealand [20] |
Sweden [21] |
Uingereza [10] | |||||
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) |
2018 | 1 | 1 | 1 | 1 | 1 | 1 | 1 | 1 | 2 | 1 |
|
7 | |
"Panini" | 2019 | 5 | 2 | 15 | 8 | 28 [28] |
18 | 26 | 14 [29] |
42 | 21 |
Tuzo[hariri | hariri chanzo]
Tuzo | Mwaka | Anayetuzwa/Kinachotuzwa | Aina ya Tuzo | Matokeo | Marejeo |
---|---|---|---|---|---|
American Music Awards | 2019 | Mwenyewe | New Artist of the Year | Aliteuliwa | [33] |
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Collaboration of the Year | Aliteuliwa | |||
Favorite Song — Rap/Hip-Hop | Ameshinda | ||||
Video of the Year | Aliteuliwa | ||||
Favorite Song — Pop/Rock | Aliteuliwa | ||||
Apple Music Awards | 2019 | "Old Town Road" | Song of the Year | Ameshinda | [34] |
BBC Radio 1's Teen Awards | 2019 | "Old Town Road" | Best Single | Aliteuliwa | [35] |
BET Hip Hop Awards | 2019 | Mwenyewe | Best New Hip Hop Artist | Aliteuliwa | [36] |
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Single of the Year | Ameshinda | |||
Best Collab, Duo or Group | Ameshinda | ||||
Bravo Otto | 2019 | Mwenyewe | Newcomer | - | [37] |
BreakTudo Awards | 2019 | Mwenyewe | International Male Artist | Aliteuliwa | [38] |
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | International Hit of the Year | Aliteuliwa | |||
Country Music Association Awards | 2019 | "Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Musical Event of the Year | Ameshinda | [39] |
Danish Music Awards | 2019 | "Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Foreign Song of the Year | Aliteuliwa | [40] |
Grammy Awards | 2020 | Mwenyewe | Best New Artist | Aliteuliwa | [41] |
"Panini" | Best Rap/Sung Performance | Aliteuliwa | |||
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Record of the Year | Aliteuliwa | |||
Best Pop Duo/Group Performance | Ameshinda | ||||
Best Music Video | Ameshinda | ||||
7 | Album of the Year | Aliteuliwa | |||
iHeartRadio Music Awards | 2020 | "Old Town Road" | Song of the Year | - | |
Hip-Hop Song of the Year | - | ||||
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Best Music Video | - | |||
Best Remix | - | ||||
Mwenyewe | Best New Pop Artist | - | |||
Best New Hip-Hop Artist | - | ||||
LOS40 Music Awards | 2019 | Mwenyewe | Best International New Artist | Aliteuliwa | [42] |
MTV Europe Music Awards | 2019 | Mwenyewe | Best New Act | Aliteuliwa | [43] |
Best Look | Aliteuliwa | ||||
Best US Act | Aliteuliwa | ||||
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Best Song | Aliteuliwa | |||
Best Video | Aliteuliwa | ||||
Best Collaboration | Aliteuliwa | ||||
MTV Video Music Awards | 2019 | Mwenyewe | Best New Artist | Aliteuliwa | [44] |
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Video of the Year | Aliteuliwa | |||
Song of the Year | Ameshinda | ||||
Best Collaboration | Aliteuliwa | ||||
Best Hip-Hop Video | Aliteuliwa | ||||
Song of Summer | Aliteuliwa | ||||
Best Direction | Ameshinda | ||||
Best Editing | Aliteuliwa | ||||
Best Art Direction | Aliteuliwa | ||||
MTV Video Play Awards[45][46][47][48] | 2019 | "Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Winning Video | Ameshinda | [49] |
NRJ Music Awards | 2019 | Mwenyewe | International Breakthrough of the Year | Aliteuliwa | [50] |
Lil Nas X na Billy Ray Cyrus | International Duo/Group of the Year | Aliteuliwa | |||
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | International Song of the Year | Aliteuliwa | |||
Video of the Year | Aliteuliwa | ||||
People's Choice Awards | 2019 | Mwenyewe | Male Artist of 2019 | Aliteuliwa | [51] |
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Song of 2019 | Aliteuliwa | |||
Streamy Awards | 2019 | Mwenyewe | Breakthrough Artist | Ameshinda | [52] |
Swiss Music Awards | 2020 | "Old Town Road" | Best International Hit | - | [53] |
Teen Choice Awards | 2019 | Mwenyewe | Choice Male Artist | Aliteuliwa | [54] |
Choice Breakout Artist | Aliteuliwa | ||||
"Old Town Road" | Choice Song: Male Artist | Aliteuliwa | |||
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Choice Collaboration | Aliteuliwa | |||
Choice Song: R&B/Hip-Hop | Ameshinda | ||||
UK Music Video Awards | 2019 | "Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Best Urban Video – International | Aliteuliwa | [55] |
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ 1.0 1.1 Caulfield, Keith (June 30, 2019). "The Raconteurs Land First No. 1 Album on Billboard 200 Chart With 'Help Us Stranger'". Billboard. Iliwekwa mnamo July 1, 2019. Check date values in:
|date=, |accessdate=
(help) - ↑ "ARIA Australian Top 50 Albums". Australian Recording Industry Association. July 1, 2019. Iliwekwa mnamo June 29, 2019. Check date values in:
|date=, |accessdate=
(help) - ↑ "Discographie Lil Nas X". austriancharts.at (kwa Kijerumani). Iliwekwa mnamo August 2, 2019. Check date values in:
|accessdate=
(help) - ↑ "2019 Archive: Canadian Albums". Billboard. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-13. Iliwekwa mnamo July 2, 2019. Check date values in:
|accessdate=
(help) - ↑ "Album Top-40 Uge 25, 2019". Hitlisten. Iliwekwa mnamo July 3, 2019. Check date values in:
|accessdate=
(help) - ↑ "Discographie Lil Nas X". austriancharts.at (kwa Kijerumani). Hung Medien. Iliwekwa mnamo August 2, 2019. Check date values in:
|accessdate=
(help) - ↑ "IRMA – Irish Charts". Irish Recorded Music Association. Iliwekwa mnamo June 29, 2019. Check date values in:
|accessdate=
(help) - ↑ "NZ Top 40 Albums Chart". Recorded Music NZ. July 15, 2019. Iliwekwa mnamo July 12, 2019. Check date values in:
|date=, |accessdate=
(help) - ↑ "Veckolista Album, vecka 32". Sverigetopplistan. Iliwekwa mnamo August 9, 2019. Check date values in:
|accessdate=
(help) - ↑ 10.0 10.1 "Lil Nas X". Official Charts Company. Iliwekwa mnamo April 8, 2019. Check date values in:
|accessdate=
(help) - ↑ "Lil Nas X: 7 EP". RIAA.
- ↑ Trust, Gary (April 8, 2019). "'Lil Nas X's "Old Town Road" Leaps to No. 1 on the Hot 100". Billboard. Iliwekwa mnamo April 9, 2019. Check date values in:
|date=, |accessdate=
(help) - ↑ Trust, Gary (September 23, 2019). "Lizzo's 'Truth Hurts' Tops Billboard Hot 100 For Fourth Week, Lil Nas X's 'Panini' Hits Top 10". Billboard. Iliwekwa mnamo September 24, 2019. Check date values in:
|date=, |accessdate=
(help) - ↑ "Top R&B/Hip-Hop Songs: April 13, 2019". Billboard. Iliwekwa mnamo April 9, 2019. Check date values in:
|accessdate=
(help) - ↑ 15.0 15.1 "ARIA Australian Top 50 Singles". Australian Recording Industry Association. December 23, 2019. Iliwekwa mnamo December 21, 2019. Check date values in:
|date=, |accessdate=
(help) - ↑ "Chart Search: Canadian Hot 100". Billboard. Iliwekwa mnamo October 1, 2019. Check date values in:
|accessdate=
(help) - ↑ "Discography Lil Nas X". Danish Charts (Hung Medien). Iliwekwa mnamo May 15, 2019. Check date values in:
|accessdate=
(help)[dead link] - ↑ "IRMA – Irish Charts". Irish Recorded Music Association. Iliwekwa mnamo June 29, 2019. Check date values in:
|accessdate=
(help) - ↑ Peaks in Norway:
- "Old Town Road": "VG-lista – Topp 20 Single uke 15, 2019". VG-lista. Iliwekwa mnamo April 13, 2019. Check date values in:
|accessdate=
(help) - "Panini": "VG-lista – Topp 20 Single uke 40, 2019". VG-lista. Iliwekwa mnamo October 5, 2019. Check date values in:
|accessdate=
(help)
- "Old Town Road": "VG-lista – Topp 20 Single uke 15, 2019". VG-lista. Iliwekwa mnamo April 13, 2019. Check date values in:
- ↑ "NZ Top 40 Singles". Recorded Music NZ. April 15, 2019. Iliwekwa mnamo April 12, 2019. Check date values in:
|date=, |accessdate=
(help) - ↑ Peaks in Sweden:
- "Old Town Road": "Veckolista Singlar, vecka 16". Sverigetopplistan. Iliwekwa mnamo April 27, 2019. Check date values in:
|accessdate=
(help) - "Panini": "Veckolista Singlar, vecka 28". Sverigetopplistan. Iliwekwa mnamo July 12, 2019. Check date values in:
|accessdate=
(help)
- "Old Town Road": "Veckolista Singlar, vecka 16". Sverigetopplistan. Iliwekwa mnamo April 27, 2019. Check date values in:
- ↑ Bjorke, Matt (January 7, 2020). "Top 30 Digital Country Songs Chart: January 7, 2020". Rough Stock. Iliwekwa mnamo January 8, 2020. Check date values in:
|date=, |accessdate=
(help) - ↑ "Gold & Platinum – RIAA: Lil Nas X". Recording Industry Association of America. Iliwekwa mnamo May 31, 2019. Check date values in:
|accessdate=
(help) - ↑ 24.0 24.1 Kigezo:Cite certification
- ↑ "Lil Nas X — Old Town Road". IFPI Denmark. Iliwekwa mnamo May 15, 2019. Check date values in:
|accessdate=
(help) - ↑ Kigezo:Cite certification
- ↑ "Sverigetopplistan". Sverigetopplistan (kwa Kiswidi). Iliwekwa mnamo 2019-10-25.
- ↑ "Track Top-40 Uge 25, 2019". Hitlisten. Iliwekwa mnamo July 3, 2019. Check date values in:
|accessdate=
(help) - ↑ "NZ Top 40 Singles Chart". Recorded Music NZ. July 8, 2019. Iliwekwa mnamo July 5, 2019. Check date values in:
|date=, |accessdate=
(help) - ↑ "Lil Nas X: Panini". RIAA.
- ↑ "ARIA Chart Watch #554". auspOp. December 7, 2019. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-12-08. Iliwekwa mnamo December 7, 2019. Check date values in:
|date=, |accessdate=
(help) - ↑ Kigezo:Cite certification
- ↑ Nordyke, Kimberly. "American Music Awards: Taylor Swift Wins Artist of the Year, Sets New Record", The Hollywood Reporter, October 9, 2018.
- ↑ Singleton, Micah (December 2, 2019). "Billie Eilish Earns Top Honors From Inaugural Apple Music Awards". Billboard. Iliwekwa mnamo December 3, 2019. Check date values in:
|date=, |accessdate=
(help) - ↑ "Best Single". BBC. Iliwekwa mnamo October 14, 2019. Check date values in:
|accessdate=
(help) - ↑ "Cardi B Leads 2019 BET Hip Hop Awards With 10 Nominations: Exclusive". Billboard. Iliwekwa mnamo September 12, 2019. Check date values in:
|accessdate=
(help) - ↑ "BRAVO-Otto-Wahl 2019: Vote für deinen Star!". Bravo Germany. October 23, 2019. Iliwekwa mnamo October 26, 2019. Check date values in:
|date=, |accessdate=
(help) - ↑ "BreakTudo Awards 2019: BlackPink, BTS and Red Velvet received multiple nominations". allkpop. Iliwekwa mnamo August 23, 2019. Check date values in:
|accessdate=
(help) - ↑ "CMA Awards 2019: See who won big at country music's biggest night". CNN.com. November 14, 2019. Iliwekwa mnamo November 14, 2019. Check date values in:
|date=, |accessdate=
(help) - ↑ "Vindere til Danish Music Awards 2019" (kwa Danish). IFPI Danmark. October 17, 2019. Iliwekwa mnamo October 17, 2019. Check date values in:
|date=, |accessdate=
(help) - ↑ "2020 GRAMMY Awards: Complete Nominees List". Grammy.com. November 20, 2019. Iliwekwa mnamo November 20, 2019. Check date values in:
|date=, |accessdate=
(help) - ↑ "JONAS BROTHERS, ROSALÍA, AITANA, LEIVA Y MANUEL CARRASCO, MÁXIMOS NOMINADOS DE LOS40 MUSIC AWARDS 2019". Los40.com. Iliwekwa mnamo September 13, 2019. Check date values in:
|accessdate=
(help) - ↑ "Ariana Grande Leads 2019 MTV EMA Nominations". Variety. October 1, 2019. Iliwekwa mnamo October 1, 2019. Check date values in:
|date=, |accessdate=
(help) - ↑ "Here Are All the Winners From the 2019 MTV VMAs", Billboard, August 26, 2019.
- ↑ "Jessie J And Adele Top MTV Video Play Awards Winners List". Capital. Iliwekwa mnamo December 16, 2019. Check date values in:
|accessdate=
(help) - ↑ Corner, Lewis (February 8, 2012). "Adele, Jessie J scoop MTV Play awards". Digital Spy. Iliwekwa mnamo December 16, 2019. Check date values in:
|date=, |accessdate=
(help) - ↑ "CARDI B, BRUNO MARS, DUA LIPA, RUDIMENTAL AND CLEAN BANDIT TOP MTV'S MOST PLAYED VIDEOS OF 2018". www.warnermusic.co.nz. Iliwekwa mnamo December 16, 2019. Check date values in:
|accessdate=
(help) - ↑ "MTV Video Play Awards: Check Out Which Artist is Most Played - BNL". Beirut The Only Way It Should Be, NightLife, Clubbing, Events, DineOut, Concerts, Festivals, Clubs, Pubs, Bars, Hotels, Restaurants, Lifestyle, Music, Fashion. February 13, 2012. Iliwekwa mnamo December 16, 2019. Check date values in:
|date=, |accessdate=
(help) - ↑ "2019 mtv video play awards", MTV UK.
- ↑ "NRJ Music Awards 2019 : Angèle, Roméo Elvis et Lil Nas X dominent la liste des nommés" (kwa French). Ozap. Iliwekwa mnamo September 30, 2019. Check date values in:
|accessdate=
(help) - ↑ "2019 People's Choice Awards:Complete List of Nominees", E! News, September 5, 2019.
- ↑ "Winners Announced for the 9th Annual Streamy Awards". The Streamy Awards. December 14, 2019. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-01-16. Iliwekwa mnamo December 14, 2019. More than one of
|accessdate=
na|access-date=
specified (help); Check date values in:|date=, |accessdate=
(help) - ↑ "«Swiss Music Awards»: Die ersten Nominierten stehen fest" (kwa German). Schweizer Radio und Fernsehen. January 8, 2020. Iliwekwa mnamo January 8, 2020. Check date values in:
|date=, |accessdate=
(help) - ↑ "Teen Choice Awards 2019 winners announced-see the full list", Alternative Press, August 12, 2019.
- ↑ "uk video music awards 2019 nominations". UK Music Video Awards. Iliwekwa mnamo September 30, 2019. Check date values in:
|accessdate=
(help)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lil Nas X kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
- CS1 errors: dates
- CS1 Kijerumani-language sources (de)
- Articles with dead external links from September 2021
- CS1 Kiswidi-language sources (sv)
- CS1 Danish-language sources (da)
- CS1 French-language sources (fr)
- Pages with citations having redundant parameters
- CS1 German-language sources (de)
- Mbegu za wanamuziki
- Waliozaliwa 1999
- Watu walio hai
- Hip hop
- Wanamuziki wa Marekani