Kurt Alder

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tuzo Nobel.png

Kurt Alder (10 Julai, 190220 Juni, 1958) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa anajulikana kwa kubuni njia mpya ya usanisi wa misombo ya kikaboni. Mwaka wa 1950, pamoja na Otto Diels alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kurt Alder kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine