Kundi la Sameer
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kuhusu [hariri]
Kundi la Sameer ni kundi kubwa la kampuni za Afrika zilizo na makao yao nchini Kenya. Sameer imejihusisha na ukulima,sekta ya viwanda,teknolojia, ujenzi ,usafiri na fedha. Ofisi za kampuni hii zinapatikana mjini Nairobi na imeorodheshwa katika Soko la Hisa la Nairobi.
Kampuni shirika [hariri]
Machi 2007: Kampuni shirika za Kundi la Sameer ni:
- Benki ya Equatorial Commercial
- Sasini [1]
- Dimension Data [2]
- Swift Global Kenya [3]
- Kenya Data Networks [4]
- Ryce East Africa
- Yansam Motors
- Celtel Kenya/Celtel [5]
- Sameer Africa [6] - waundaji wa gurudumu - walikuwa wanaitwaa Firestone East Africa
- H Young [7] - uhandisi na ujenzi
- Eveready East Africa
- Sameer Industrial Park
- Ryce East Africa - Sekta ya uhandisi.
