Kighettoghetto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
"Kighettoghetto"
"Kighettoghetto" kava
Wimbo wa Juma Nature

kutoka katika albamu ya Nini Chanzo

Umetolewa 2000/2001
Umerekodiwa 2000
Aina ya wimbo Hip hop
Urefu 5
Studio Bongo Records
Soundcrafters
Mtunzi Juma Nature
Mtayarishaji Henrico
(orijino - 2000)
P. Funk
(toleo la pili - 2001)
Nini Chanzo orodha ya nyimbo
  1. "Kighettoghetto"
  2. "Sonia"
  3. "Wimbi la Njaa" (remix 2001)
  4. "Jinsi Kijana"
  5. "Tumepigika"
  6. "Nini Chanzo"
  7. "Juu kwa Juu"
  8. "Hili Game"
  9. "Jinsi Kijana" (remix)
  10. "Haya We"
  11. Wimbi la Njaa (orijino 2000)

"Kighettoghetto" ni jina la wimbo wa Wababe Crack wakiwa na Juma Nature kutoka Temeke, Dar es Salaam, Tanzania. Wimbo huu wa awali ulitayarishwa na Henrico wa Soundcrafters. Ndani yake anakuja King Sapeto, Biko na Juma Nature. Hili ni toleo la kwanza la wimbo kabla kufanyiwa remix na P. Funk na kuja kuonekana kwenye tepu ya kwanza ya albamu ya Juma Nature Nini Chanzo. Wimbo ulitoka mwaka 2000. Remix kiitikio kiliimbwa na Mr. Paul wa Four Crewz Flavour.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


Kigezo:Juma Nature