Wilaya ya Temeke
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Temeke)
Mahali pa Temeke (kijani) katika mkoa wa Dar es Salaam.
Wilaya ya Temeke ni wilaya ya Mkoa wa Dar es Salaam. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 771,500 [1].
| Kata za Wilaya ya Temeke - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Kigamboni • Vijibweni • Kibada • Kisarawe II • Samangira • Kimbiji • Mbagala • Chamazi • Yombo Vituka • Charambe • Toangoma • Miburani • Temeke • Mtoni • Keko • Kurasini • Azimio • Tandika • Sandali • Chango'mbe • Mbagala Kuu • Makangarawe • Pemba Mnazi • Mji Mwema |
||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Temeke kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |