Kayo na Aleksanda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kayo na Aleksanda (Eumeni, Frigia, katika Uturuki ya leo, karne ya 2 - Hisarlik, Frigia, karne ya 2) ni Wakristo waliouawa katika dhuluma ya Dola la Roma wakati wa makaisari Marcus Aurelius na Lukio Vero.[1].

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 10 Machi[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.