Katrina Gorry

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gorry akiichezea Australia mwaka wa 2017

Katrina-Lee Gorry (alizaliwa 13 Agosti 1992)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Australia ambae anacheza kama kiungo wa klabu ya West Ham United inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Australia.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://web.archive.org/web/20190608175618/http://www.fifadata.com/document/FWWC/2015/pdf/FWWC_2015_SquadLists.pdf
  2. "Profile". web.archive.org. 2011-07-06. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-06. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Katrina Gorry kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.