Kassanda
Kassanda ni mji katika wilaya ya Kasanda, katika eneo la Buganda nchini Uganda.
Mahali[hariri | hariri chanzo]
Kassanda iko takribani kilomita 58 (maili 36) mashariki mwa Mubende, eneo la makao makuu ya wilaya.[1]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ GFC (19 May 2016). "Distance between Mubende Town Council Headquarters, Kampala, Mubende, Central Region, Uganda and Kassanda, Central Region, Uganda". Globefeed.com (GFC). Iliwekwa mnamo 19 May 2016. Check date values in:
|date=, |accessdate=
(help)
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kassanda kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |