Josephine Giard

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Josephine Giard (alizaliwa 22 Machi 1996) ni mchezaji wa soka wa nchini Ujerumani na ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Ligi Kuu ya Wanawake ya Scotland, Hamilton Academical. Awali alicheza katika klabu ya FSV Gütersloh nchini Ujerumani na nchini Scotland alicheza kwenye klabu ya wanawake ya Celtic.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Hallescher FC - FSV Gütersloh 2009, 0:4, DFB-Pokal der Frauen, 2013/2014, 1. Runde". DFB Datencenter. Iliwekwa mnamo 3 March 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Josephine Giard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.