Joris Gnagnon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Joris Gnagnon

Joris Gnagnon (amezaliwa 13 Januari 1997 [1]) ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza kama mlinzi katika klabu ya La Liga Sevilla FC.

Kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Rennes[hariri | hariri chanzo]

Amezaliwa Bondy karibu na Paris, Alicheza mechi Ligue 1ya kwanza mnamo 16 Januari 2016 dhidi ya Troyes AC Alifunga bao lake la kwanza katika Ligue 1 mnamo tarehe 28 Januari 2017 katika Derby Breton dhidi ya Nantes katika dakika ya 86.[2]

Baada ya hapo mnamo tarehe 25 Julai 2018, Gnagnon alijiunga na Sevilla FC ya Hispania kwa mkataba wa miaka mitano.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Acta del Partido celebrado el 12 de diciembre de 2020, en Getafe" [Minutes of the Match held on 12 December 2020, in Getafe] (kwa Kihispania). Royal Spanish Football Federation. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-12-31. Iliwekwa mnamo 31 December 2020.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Rennes vs. Nantes - 28 January 2017 - Soccerway". soccerway.com. Iliwekwa mnamo 29 January 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joris Gnagnon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.