Jimbo la Uchaguzi la Nakuru Town
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nakuru Town ni jina la Jimbo la uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo sita ya uchaguzi katika Wilaya ya Nakuru Sehemu yote ya jimbo hili inapatikana chini ya Baraza la Munisipali ya Nakuru.
Yaliyomo |
Historia [hariri]
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1963, kwa hivyo ni mojawapo ya majimbo ya uchaguzi ya kwanza kabisa nchini Kenya baada ya Uhuru.
Wabunge [hariri]
| Mwaka | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
|---|---|---|---|
| 1963 | Achieng Oneko | KANU | |
| 1966 | Mark Waruiru Mwithaga | KANU | |
| 1969 | Mark Waruiru Mwithaga | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1974 | Mark Waruiru Mwithaga | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1976 | Willy Komen | KANU | Uchaguzi Mdogo, Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1979 | Mark Waruiru Mwithaga | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1983 | Amos Kabiru Kimemia | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1988 | Amos Kabiru Kimemia | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1992 | J. C. Lwali-Oyondi | Ford-Asili | |
| 1997 | David Manyara Njuki | DP | |
| 2002 | Mirugi Kariuki | NARC | Kariuki alikufa katikaajali ya angani mnamo 2006 |
| 2006 | William Kariuki Mirugi | NARC-K | Uchaguzi Mdogo |
| 2007 | Lee Maiyani Kinyanjui | PNU |
Lokesheni na Wodi [hariri]
| Lokesheni | |
| Lokesheni | Idadi ya watu* |
|---|---|
| Baruti | 11,633 |
| Central | 97,811 |
| Kaptembwo | 137,317 |
| Lake Nakuru | 426 |
| Lanet | 46,217 |
| Jumla | x |
| Hesabu ya 1999 [2]. | |
| Wodi | |
| Wodi | Wapiga Kura waliosajiliwa |
|---|---|
| Barut East | 2,502 |
| Barut West | 2,838 |
| Biashara | 21,028 |
| Bondeni | 4,119 |
| Hospital | 6,700 |
| Kaptembwa | 7,200 |
| Kivumbini | 12,420 |
| Lake View | 6,019 |
| Langa Langa | 8,135 |
| Menengai | 4,696 |
| Nakuru East | 9,854 |
| Rhoda | 7,916 |
| Shabab | 9,751 |
| Shauri Yako | 4,541 |
| Viwanda | 4,863 |
| Jumla | 112,582 |
| *Septemba 2005 [3]. | |
Tazama Pia [hariri]
- Achieng Oneko
- Mirugi Kariuki
- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2007
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
Virejeleo [hariri]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ information.go.ke: CDF allocation by sector and location (2003-6)
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya Nje [hariri]