Jimbo la Uchaguzi la Machakos Mjini
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
|
|
This article is in a list format that may be better presented using prose. You can help by converting this article to prose, if appropriate. Editing help is available. (Mei 2009) |
| Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Jimbo la Uchaguzi la Machakos Mjini ni mojawapo ya Majimbo 210 ya uchaguzi ya Kenya. Jimbo hili linnapatikana katika Wilaya ya Machakos Mkoani Mashariki mwa Kenya, miongoni mwa majimbo sita ya wilaya hiyo.
Yaliyomo |
Historia [hariri]
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1988. Mbunge wake wa Kwanza alikuwa John Kyallo.
Wabunge [hariri]
| Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
|---|---|---|---|
| 1988 | John Kyallo | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1992 | John Kyallo | KANU | |
| 1994 | Alphonce Mbinda Musyoki | KANU | Uchaguzi mdogo |
| 1997 | Jonesmus Mwanza Kikuyu | SDP | |
| 2002 | Fredrick Daudi Mwanzia | NARC | |
| 2007 | Victor Munyaka | ODM-Kenya |
Kata na Wodi [hariri]
| Kata | |
| Kata | Idadi[2] |
|---|---|
| Kalama | 21,702 |
| Katheka Kai | 17,485 |
| Kiima-Kimwe | 22,741 |
| Kimutwa | 17,265 |
| Kola | 14,567 |
| Lumbwa | 13,609 |
| Masaku | 19,980 |
| Mau Hills | 8,579 |
| Mumbuni | 49,802 |
| Muputi | 12,156 |
| Mutituni | 14,300 |
| Ngelani | 11,989 |
| Jumla | x |
| Wards | ||
| Wodi | Wapiga Kura | Baraza la Utawala wa Mitaa |
|---|---|---|
| Eastleigh | 11,027 | Munisipali ya Machakos |
| Kalama / Kyangala | 7,935 | Masaku County |
| Katheka Kai | 5,183 | Munisipali ya Machakos |
| Kiima-Kimwe / Muvuti | 9,897 | Munisipali ya Machakos |
| Kimutwa | 5,829 | Munisipali ya Machakos |
| Mjini | 8,166 | Munisipali ya Machakos |
| Mua | 2,937 | Munisipali ya Machakos |
| Mumbuni North | 6,606 | Munisipali ya Machakos |
| Mumbuni South | 6,087 | Munisipali ya Machakos |
| Mutituni | 5,528 | Munisipali ya Machakos |
| Muumandu / Kola | 8,629 | Masaku County |
| Ngelani | 5,095 | Munisipali ya Machakos |
| Jumla | 82,919 | |
| *Septemba 2005 [3]. | ||
Tazama Pia [hariri]
- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
Virejeleo [hariri]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ information.go.ke: CDF allocation by sector and location (2003-6)
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya Nje [hariri]
Jamii:
- Articles needing cleanup from Mei 2009
- Articles with invalid date parameter in template
- All pages needing cleanup
- Articles with sections that need to be turned into prose from Mei 2009
- Kenya makala zilizokosa data ya ramani ya kijiofrafia
- Makala zote zinazohitaji ramani ya kijiografia
- Wilaya ya Machakos
- Majimbo ya Uchaguzi ya Mkoa wa Mashariki (Kenya)