Jimbo la Uchaguzi la Bahari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bahari ni Jimbo la uchaguzi nchini [[]Kenya]]. Jimbo hili linapatikana katika Mkoa wa Pwani wa Kenya na ni mojawapo ya majimbo matatu ya uchaguzi katika Wilaya ya Kilifi.
Yaliyomo |
HIstoria [hariri]
JImbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa Kenya wa 1988.
Wabunge [hariri]
| Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
|---|---|---|---|
| 1988Timothy Mtana Lewa | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja | |
| 1992 | J. Safari Mumba | KANU | |
| 1997 | Jembe Mwakalu | KANU | |
| 2002 | Joe Matano Khamisi | NARC | |
| 2007 | Benedict Fodo Gunda | ODM |
Kata na Wodi [hariri]
| Kata | |
| Kata | Idadi ya Watu* |
|---|---|
| Banda ra Salama | 10,962 |
| Chasimba | 17,871 |
| Junju | 28,876 |
| Kilifi Township | 45,236 |
| Matsangoni | 14,645 |
| Mtwapa | 66,268 |
| Mwarakaya | 15,140 |
| Ngerenya | 14,450 |
| Roka | 15,375 |
| Takaungu Mavueni | 26,479 |
| Tezo | 22,116 |
| Ziani | 14,588 |
| Jumla | x |
| Hesabu ya 1999 [2]. | |
| Wodi | ||
| Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha |
Utawala wa Mtaa |
|---|---|---|
| Chasimba | 4,840 | Kilifi county |
| Hospital / Sokoni | 9,367 | Kilifi (mji) |
| Junju | 7,304 | Kilifi county |
| Kibarani | 4,884 | Kilifi (mji) |
| Matsangoni | 3,980 | Kilifi county |
| Mavueni/Mkongani | 3,251 | Kilifi (mji) |
| Mnarani | 2,603 | Kilifi (mji) |
| Mtepeni | 7,587 | Kilifi county |
| Mwarakaya | 7,462 | Kilifi county |
| Ngala | 3,826 | Kilifi (mji) |
| Ngerenya | 4,140 | Kilifi county |
| Roka | 3,993 | Kilifi county |
| Shauri Moyo / Takaungu | 4,401 | Kilifi (mji) |
| Shimo la Tewa | 7,138 | Kilifi county |
| Ziani | 3,929 | Kilifi county |
| Jumla | 78,705 | |
| *Septemba 2005 [3]. | ||
Tazama Pia [hariri]
- Joe Matano Khamisi
- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2007
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
Virejeleo [hariri]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ information.go.ke: CDF allocation by sector and location (2003-6)
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya Nje [hariri]