Jean E. Williams

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jean Elizabeth Williams (Januari 20, 1876 ,Uingereza - Julai 1965)[1] ni mtunzi wa nyimbo alizaliwa nchini Uingereza, na akahamia Toronto, Canada.[2] Baada ya kuhitimu Shule ya Royal Conservatory ya Muziki na Chuo Kikuu cha Toronto, alirudi Uingereza na kusomea masuala ya muziki.

Williams alibadili mbinu yake ya uandishi na kuanza kufundisha kisha akarudi katika Chuo Kikuu cha Toronto ili kufundisha kuimba na kupiga kinanda. Na baadaye alifundisha huko Cleveland, Ohio, St. Louis, Missouri, kabla ya kuhamia Portland, Oregon, 1932.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Join Ancestry". www.ancestry.com. Iliwekwa mnamo 2020-08-07. 
  2. Hixon, Donald L. (1993). Women in music : an encyclopedic biobibliography. Hennessee, Don A. (toleo la 2nd). Metuchen, N.J.: Scarecrow Press. ISBN 0-8108-2769-7. OCLC 28889156. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jean E. Williams kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.