Ivar Giæver

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tuzo Nobel.png
Ivar Giæver

Ivar Giæver (amezaliwa 5 Aprili, 1929) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Norwei. Baadaye alihamia na kufanya kazi nchini Marekani. Hasa alichunguza nadharia ya upitishaji umeme. Mwaka wa 1973, pamoja na Leo Esaki na Brian Josephson alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ivar Giæver kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine