I Lay My Love on You
Mandhari
“I Lay My Love on You” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Westlife kutoka katika albamu ya Coast to Coast | |||||
Imetolewa | 3 Machi 2001 (Australia) | ||||
Muundo | CD single | ||||
Aina | Latin Pop | ||||
Studio | Sony BMG | ||||
Mtunzi | Jörgen Elofsson | ||||
Mwenendo wa single za Westlife | |||||
|
"I Lay My Love on You" ni moja kati ya nyimbo zilizoimbwa na kundi la Westlife, wimbo huu ulitoka rasmi mwaka 2001, katika nchi za Australia, Kusinimashariki mwa bara la Asia na katika bara la Uropa isipokuwa katika nchi za Uingereza na Ieland.
Mapokezi
[hariri | hariri chanzo]Wimbo huu, ulishika nafasi ya kwanza katika chati ya Televisheni ya MTV na kuufanya wimbo huu kuwa wimbo wa nne katika nyimbo za Westlife kuwahi kufikia nafasi ya kwanza katika chati hiyo ya muziki
Kundi hili la Westlife pia limetengeneza wimbo huu huu katika lugha ya Kihispania unaitwa, "En Ti Deje Mi Amor" ambao ulitoka kama single katika nchi zinazozungumza lugha ya Kihispania.
Mtiririko wa Nyimbo
[hariri | hariri chanzo]- I Lay My Love On You (Single Remix) - 3:29
- Dreams Come True - 3:07
- My Love (Radio Edit) - 3:52
- Nothing is Impossible - 3:15
Chati
[hariri | hariri chanzo]Chart | Ulipata nafasi |
---|---|
Chati ya single ya Australian | 29 |
Chati ya nchini Ubelgiji | 35 |
Chati ya nchini New Zealand | 24 |
Chati ya nchini Swedish | 10 |
Chati ya nchini Uswis | 39 |