Hermes na Gayo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hermes na Gayo (walifariki karne ya 4) walikuwa Wakristo wa Mesia (kati ya Bulgaria na Romania za leo) waliouawa kwa ajili ya imani yao, labda mmoja huko Arcer, mwingine huko Vidin[1].

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao ni tarehe 4 Januari[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/36210
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.