Henri Moissan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Henri Moissan

Henri Moissan (28 Septemba 185220 Februari 1907) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ufaransa. Baadhi ya utafiti mwingi alichunguza elementi ya florini. Mwaka wa 1906 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Henri Moissan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.