Henri Fayol

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Henri Fayol

Henri Fayol (Istanbul, 29 Julai, 1841Paris, 19 Novemba, 1925) alikuwa mhandisi kutoka nchi ya Ufaransa. Amejulikana hasa kwa kueleza nadharia ya utawala wa uchumi. Aliandika kuhusu nadharia hiyo katika kitabu chake cha "Administration Industrielle et Générale" kilichochapishwa mwaka wa 1916.

People.svg Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Henri Fayol kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine