Giovanna Epis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Epis (katikati, na jina la ukoo kwenye nguo yake).
Epis (katikati, na jina la ukoo kwenye nguo yake).

Giovanna Epis (alizaliwa 11 Oktoba 1988) ni mwanariadha wa mbio za umbali mrefu kutoka nchi ya Italia, alishindana kwenye michuano ya IAAF World Half Marathon ya mwaka 2018[1]. Alishinda medali ya shaba akiwa na timu ya Italia kwenye michuano ya 2019 European 10,000m Cup jijini London. Mwaka 2019, alishindana kwenye marathoni ya wanawake kwenye michuano ya 2019 World Athletics Championships yaliyofanyika Doha, Qatar[2]. Hakufanikiwa kumaliza mbio hizo. Alishiriki marathoni kwenye Olimpiki ya majira ya joto mwaka 2020[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Giovanna Epis (c.s. Carabinieri Sez. Atletica)". www.fidal.it (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-09-27. 
  2. "Wayback Machine". web.archive.org. 2019-09-28. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-09-28. Iliwekwa mnamo 2021-09-27. 
  3. "Athletics EPIS Giovanna - Tokyo 2020 Olympics". olympics.com (kwa en-us). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-27. Iliwekwa mnamo 2021-09-27.