Galen McKinley

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Galen Anile McKinley Ni mhadhiri katika Chuo kikuu cha Columbia na Lamont–Doherty Earth Observatory anafahamika sana kwa kazi yake ya utafiti kuhusu mzunguko wa kaboni, haswa kwenye matumizi ya modeli ya kutafiti mahusiano yaliyopo kati ya bahari na anga.

Elimu na Ujuzi[hariri | hariri chanzo]

McKinley alipata shahada ya kwanza toka chuo kikuu cha Rice mwaka 1995 na Ph.D toka Massachusetts Institute of Technology mwaka 2002. Baada ya kupata cheti cha udaktari kutoka Instituto Nacional de Ecologia huko Mexico na Princeton University, alijunga na chuo kikuu cha Wisconsin Madison ambako alifanya kazi hadi 2017. Baadae alihamia chuo Kikuu cha Kolumbia halafu taasisi ya tafiti za dunia ya Lamont–Doherty ambapo ni mhadhiri mpaka sasa.[1] Mwaka 2021 National Science Foundation walitangaza kuwa mradi ambo McKinley alitumikia kama mkurugenzi msadizi utapokea dola milioni 25 kutengeneza vielelezo na modeli za hali ya hewa ya bahari.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Galen McKinley | Lamont–Doherty Earth Observatory". lamont.columbia.edu. Iliwekwa mnamo 2022-01-08. 
  2. Das, Bidisha (2021-09-14). "Columbia Developing AI-Based Climate Modeling Center". The College Post (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2022-01-08.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Galen McKinley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.