Eusebi wa Roma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Utukufu wa Mt. Eusebi, (1757) kazi ya Anton Raphael Mengs.

Eusebi wa Roma (319 hivi - 14 Agosti 353) alikuwa padri wa Roma anayeheshimiwa tangu kale kama mtakatifu mfiadini kwa sababu alikaa jela miezi saba hadi alipofariki kwa kumlaumu papa Liberius kutokana na udhaifu mbele ya uzushi wa Ario ulioungwa mkono na kaisari Constantius II[1].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini chake[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.