Eschweiler

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eschweiler (tamka: Eshvailer; Kijerumani cha kienyeji: Aischwiile) ni mji wa Kijerumani kando la mto Inde mwenye wakazi 60,000. Mji ni baina ya Köln na Aachen karibu na Uholanzi na Ubelgiji.

[hariri] Viungo vya Nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Flag Germany template.gif Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Eschweiler kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.